Watu wenye ualbino nchini Tanzania wamemtaka rais wa nchi hiyo John Magufuli kuingilia kati wimbi la kufukuliwa kwa makaburi ya watu wenye ualbino. Chama cha albino cha nchi hiyo kimesema watu ...
Taarifa kuwahusu Albino nchini Tanzania mara nyingi zimekuwa za majonzi na kukatisha tamaa, lakini kundi moja la Albino visiwani Ukerewe lipo katika kampeni ya kipekee. Maaalbino watano walijiunga ...