Taarifa kuwahusu Albino nchini Tanzania mara nyingi zimekuwa za majonzi na kukatisha tamaa, lakini kundi moja la Albino visiwani Ukerewe lipo katika kampeni ya kipekee. Maaalbino watano walijiunga ...
Polisi nchini Tanzania wanasema kuwa wamewakamata watu saba kutokana na kutekwa nyara kwa msichana mmoja albino. Msichana huyo wa miaka 4, Pendo Emmanuelle Nundi alitekwa siku ya jumamosi kutoka ...