Maelezo ya picha, Wagombea kutoka CCM John Magufuli na Samia Hassan ndio walikuwa wakwanza kupitishwa na NEC. Huyu ni rais wa sasa wa Tanzania na anasaka muhula wa pili wa uongozi wake.
"Siku za hivi karibuni kuna watu walinitukana na kuthibitisha kuwa sauti zile ni zao ... na Muungano nchini Tanzania toka kuingia madarakani kwa Rais John Pombe Magufuli ametimuliwa kazi mara ...