TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Shirika la Utangazaji Tanzania ...
Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 48 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha zaidi ya magari matatu mkoani Mbeya, kanda ya nyanda za juu kusini mwa Tanzania. Ajali hiyo ...
REA inaendelea kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 19,000 ya kilo sita jijini Mbeya kwa bei punguzo ya Sh 20,000 tu.
BAADA ya kutangazwa kuwa Kocha Bora wa Desemba, kwenye Ligi ya Championship, , amezungumza kwa mara ya kwanza akisema tuzo hiyo imempa motisha na morali wa kuirudisha timu hiyo Ligi Kuu. Mayanga, amba ...
Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chadema Joseph Mbilinyi kwa jina maarufu Sugu na mwenzake Katibu wa Chadema Kanda ya nyanda za juu kusini, Emmanuel Masonga wamehukumiwa kufungwa jela miezi mitano.
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeshauri mambo kadhaa ya kufanyia kazi kufanikisha mpango wa Dira ya Taifa ya ...
Wakizungumza leo Januari 31 katika kikao cha bajeti, baadhi ya madiwani wamesema stendi ya mabasi ya Mji wa Mbalizi haifanani na hadhi ya wilaya hiyo licha ya kuwa sehemu ya kuingiza fedha ...