Ila anaamini kwa sasa hawawezi kufanya hivyo tena kwa sababu ya ulinzi. BBC imezungumza na meya wa jiji la Dar Es Salaam Isaya Mwita, anasema nikweli changamoto zipo yamkini ni kwasababu ...
Jiji kama Dar es salaam litakuwa moja ya mnufaika kama hilo litafanyiwa kazi ipasavyo. Hata kama litakua ni la muda mrefu. Kwa mujibu wa DAWASA, hatua za sasa za muda mfupi, mradi wa kigamboni ...