Wafuasi wa Chadema wamiminika Mwanza baada kuondolewa kwa marufuku ya mikutano ya kisiasa ya hadhara, Maelfu ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema wameanza kumiminika katika ...
Vuguvugu hilo litahusisha mikutano ya hadhara nchi nzima na kushirikisha wadau tofauti wakiwamo viongozi wa dini, jumuiya ya kimataifa, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wananchi wote ...
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuendesha uchaguzi wa ndani kwa uwazi na kufuata misingi ya demokrasia.