Shughuli za kuzima moto Mlima Kilimanjaro bado zinaendelea mpaka leo Ijumaa ikiwa ni siku ya sita toka ulipolipuka siku ya Jumapili. Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu zaidi barani Afrika, na upo ...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa tahadhari za kimazingira na namna watu wanavyoweza ...