Taifa la Tanzania limetajwa kuwa kivutio kizuri cha safari za watalii barani Afrika kulingana na mtandao wa SafaricBookings.com ambao ndio mtandao mkubwa wa ukuzaji wa safari za Afrika.
Walipokuwa wakirejea Cradock,safari ya umbali wa kilomita 200 usiku ... vya uhalifu vilivyosikizwa na TRC kujaribu kutuliza hali Afrika Kusini kufuatia kufikia kikomo kwa utawala wa ubaguzi ...
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limeongeza safari za treni la daladala maarufu ‘Mwakyembe’, kutokana na mahitaji ya usafiri ...