Mchuano huo uliokwenda hadi mzunguko wa saba Youssouf ameshinda kwa kupata kura 33, baada ya Raila kuondoa jina lake.
Makala hii imeangazia mkutano wa viongozi wa Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia ambapo wamemchagua kiongozi wa tume ya Umoja ...
Mwaka 2017, Amina Mohamed wa Kenya alipata kura 16 katika duru ya kwanza dhidi ya kura 14 za Moussa Faki, huku kura ...
Licha ya Marekani kuruhusu misaada ya kiutu kuendelea kutolewa, huduma za kuokoa maisha zilizokuwa zikifadhidliwa na USAID hazijarejeshwa.
BAADA ya makundi ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (Afcon U17) na zile za chini ya umri wa miaka 20 (Afcon U20) 2025 kupangwa juzi, timu ya taifa ya vijana ...
Timu za Taifa za Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys na ile ya chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kila moja ...
JUMUIYA ya kimataifa, hususan mabalozi wa nchi mbalimbali walioko Tanzania, pamoja na Algeria, Uganda India na Marekani, ...
Kufuatia uamuzi wa utawala wa Trump kusitisha misaada ya nje ya Marekani kwa siku 90, wizara ya afya ya Uganda imewapa ...
CHAMA cha mchezo wa mbio za magari duniani, FIA kimetoa kalenda mpya ya mbio za magari ubingwa wa Afrika na Tanzania itaandaa ...
Msemaji wa Naibu wa Vikosi vya Ulinzi vya Uganda ameiambia BBC kwamba jeshi la Uganda linadumisha tu wanajeshi waliopelekwa ...
Jumuiya ya Waislamu wa Kisheia Ismaili imetangaza uteuzi wa Prince Rahim Aga Khan V kama Imamu wa 50 wa urithi wa Waislamu wa Kisheia Ismaili, kufuatia kifo cha Prince Karim Al-Hussaini Aga Khan IV, a ...
POLISI nchini Uganda inawashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya benki na ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果