Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imeiagiza Rwanda kufunga shughuli zake zote za kidiplomasia na kibalozi nchini humo ndani ya saa 48. Hatua hiyo ...
Kijana Rashid Mussa (24) enzi za uhai wake. Morogoro. Mwili wa kijana mwenye ualbino, Rashid Mussa (24), umekutwa katika shamba la mtu asiyejulikana, baada ya kutoweka nyumbani kwake kwa siku tatu.