WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amewasilisha pendekezo la nyongeza ya bajeti ya serikali 2024/2025 jumla ya Shilingi ...
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuendesha uchaguzi wa ndani kwa uwazi na kufuata misingi ya demokrasia.
Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ihakikishe inatoa kandarasi za ujenzi ...
Wabunge wanne wa Tanzania wameliamsha tena bungeni wakitaka Serikali iangalie upya kikokotoo cha mafao ya kustaafu kwa kuwa ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka serikali kutoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi ...
Serikali imesema imerekebisha Kanuni za Maduka ya Kubadilisha Fedha za Kigeni za Mwaka 2019 na kutoa kanuni mpya za mwaka ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali ...
Kufuatia matukio ya udukuzi wa akaunti za mitandaoni yanayosababisha utapeli, wananchi wametakiwa kujifunza elimu ya mitandao ili kuepuka kuingia kwenye majanga.
Lissu aliyenusurika kifo Septemba 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Dodoma, ni maarufu kwa siasa ... alijipatia umaarufu kwa michango yake bungeni hususan ya kuikosoa serikali ya Rais ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果