Basi la timu ya Dodoma Jiji FC limepata ajali ya asubuhi hii maeneo ya Nangurukuru kuelekea Somanga mkoani Lindi likitokea mjini Ruangwa ambako jana walicheza mechi ya ya Ligi Kuu NBC dhidi ya Namungo ...
HIVI unayafuatilia mabao anayofunga mshambuliaji wa Mashujaa, David Ulomi? Hadi sasa nyota huyo ana mabao manne na yote ...