Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Tanga waliojitokeza kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura wamepongeza ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka serikali kutoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi ...
Kupitia mpango huo, benki hiyo itasimamia mikopo katika halmashauri tano: Jiji la Dar es Salaam, Jiji la Dodoma, Manispaa ya Kigoma, Halmashauri ya Mji wa Mbulu na Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi.
Mufindi. Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Mafinga, wilayani Mufindi Mkoa wa Iringa limetenga Sh15.6 milioni kwa ajili ya malipo ya watumishi waliokuwa wakilipwa na taasisi za Benjamin William ...
amehoji Gambo. Mbunge huyo pia alimtaja Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akisema hana shaka na usimamizi wake, lakini alitaka kujua ni kwa nini zabuni katika halmashauri ...
mchezo wa mapema saa 10:00 jioni utapigwa CCM Kirumba mjini Mwanza kati ya Pamba Jiji dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC. Timu hizo zitakutana zikiwa na morali baada ya kushinda ...