Miezi sita tangu Mwananchi kiripoti uhaba na uchakavu wa vyoo katika Stendi Kuu ya Mbeya, Halmashauri ya Jiji hilo limeboresha miundombinu hiyo huku wananchi wakipongeza hatua ya utekelezaji ...
HALMASHAURI ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba ...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imejiwekea lengo la kukusanya na kutumia Sh bilioni 140 katika mwaka wa fedha wa 2025/2026 ikiwa ni ongezeko la asilimia 10 kulinganisha na bajeti ya sasa. Hayo ...
TANGA: BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha Rasimu ya Bajeti ya Sh bilioni 83.3 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 huku Sh bilion 10.2 ya fedha hizo zikitengwa kutekeleza miradi ya ...
Peter ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Tehama Halmashauri ya Jiji la Mwanza, huku pia akikaimu Ukurugenzi wa Halmashauri ya jiji hilo, alisema atafanya kazi kwa ushirikiano na viongozi wenzake huku ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imeahirisha mchezo Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Dodoma Jiji uliopangwa kuchezwa Februari 15, 2025 katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Kwa mujibu ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mchezo baina ya Simba na Dodoma Jiji FC ambao ratiba ya awali inaonyesha ilipangwa kuchezwa Februari 15, 2025 katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es ...
Al-Burhan amekagua wanajeshi wa jeshi na vikosi vya washirika, vinavyojulikana kama kikosi cha "Al-Sayyad", ambacho kiliuteka mji huo siku ya Alhamisi i ya wiki iiyopita, na kurudisha nyuma Vikosi ...
Makenga alipewa cheo cha jenerali wa M23, kisha muda si mrefu, nafasi ya juu zaidi. Mnamo Novemba 2012 aliongoza waasi katika mapinduzi makali, ambapo waliteka mji wa Goma, jiji kubwa la mashariki ...
Prosper, mwandishi wa habari wa eneo la Goma, aliiambia BBC kuwa kulikuwa na mapigano kati ya jeshi na waasi katika sehemu za jiji hilo. "Tuna wasiwasi sana," alisema. M23 imechukua udhibiti wa ...