MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Shinyanga Mjini, Anord Makombe, amewaonya madereva wa bodaboda kuacha tabia ya kutongoza wake za watu pamoja wanafunzi. Makombe amesema hayo wakati ...