LEO mchana, Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) limethibitisha kupokea na kuwasindikiza wapiganaji mamluki zaidi 280 wa Romania waliokuwa wakipigana pamoja na Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ...
Polisi wazuia mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari. JESHI la polisi limezuia kufanyika kwa mkutano kati ya waandishi wa habari na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John ...
Jeshi hilo limesema lengo la hatua hiyo ni kukataa na kuyazuia makundi mengine ya wapiganaji wenye silaha yanayofanya shughuli zake mashariki mwa Kongo kutumia vibaya hali ilivyo kwenye eneo hilo.
RWANDA : JESHI la Ulinzi la Rwanda (RDF) limethibitisha kwamba raia watano wa Rwanda waliuawa kwa makombora yaliyorushwa na jeshi la Congo tarehe 27 Januari. Msemaji wa RDF, Brigedia Jenerali Ronald ...
Fursa ikafika ya Waziri wa Mambo ya Nje wa DRC Thérèse Kayikwamba Wagner ambaye ameanza kwa kutuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa walinda amani waliouawa katika mapigano kati ya ...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha hivi leo uwepo wa jeshi la Rwanda huko Goma, ambako waasi wa M23 wamedai kuuteka mji huo. Msemaji wa serikali ya Kongo Patrick Muyaya ...
Bwana Lacroix amesema, “nieleze mwanzoni kabisa kwamba wenzetu huko Goma wametueleza kuwa eneo la Goma na viunga vyake hali ni tete na mambo yanabadilika kwa kasi kubwa. Ni wazi na ni dhahiri na ...
SIMBA jana kilikuwa uwanjani kumalizana na Kilimanjaro Wonders katika mechi ya kiporo ya Kombe la Shirikisho, lakini mapema kocha mkuu wa kikosi hicho, Fadlu Davids ikielezwa ameshtuka mapema na ...
Mapema siku ya Jumapili, Januari 26, maelfu ya wakazi wa kusini mwa Lebanoni wamekaidi amri ya jeshi la Israeli iliyokataza ufikiaji wa maeneo 60 na kujaribu kurejea vijijini mwao. Kwa miguu au ...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka RFI, jeshi la Mali na kundi la wanamgambo wa Urusi Wagner kwa mara nyingine tena walitekeleza mfululizo wa mauaji ya kikatili siku ya Jumanne tarehe 21 na Jumatano ...
Washington. Ameanza! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Jeshi la Marekani kuanza utekelezaji wa amri iliyotolewa na Rais Donald Trump ya kuwarejesha kwao (deportation) wahamiaji haramu wanaoishi nchini ...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa wawili Fred Chaula na Bashir Chaula kwa tuhuma za kula njama na kumuua Regina Rajabu Chaula, ambaye mwili wake ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果