Hali ya mambo nchini Kenya inaonekana kuendelea kuwa tata, baada ya Waziri wa Utumishi wa Umma, Justin Muturi kufichua hadharani jinsi mwanawe, Leslie Muturi alivyotekwa na namna Rais ...
LICHA ya yote yaliyotokea, Hamisa Mobetto amefichua alikuwa tayari kuwa mke wa pili kwa Diamond Platnumz kama angemuoa Zari ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika - Misheni 300 ni kichocheo cha maendeleo ya nchi za Afrika na kichocheo cha utekelezaji wa ...
MAWAZIRI kutoka nchi mbalimbali za Jumuiya ya Afrika Mashariki na watumiaji wakubwa wa nishati wanatarajia kukutana Jijini ...
Mwanaharakati, Maria Sarungi ambaye kwa sasa anaishi nchini Kenya ameripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana leo nchini humo.
KAMA tulivyoripoti tangu kuanza kwa sakata la mshambuliaji wa Simba Queens, Aisha Mnunka hadi lilipoisha baada ya pande zote ...