Wakizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam, watafiti hao wanasema teknolojia hiyo ina umuhimu kwenye kuongeza tija ya kuzalisha mazao na kuwabadilisha wakulima kutoka kilimo cha kujikimu hadi cha ...
Amesema mafunzo hayo yanalenga kuimarisha ujuzi kwa washiriki ili kuimarisha kilimo nchini kutokana na wakulima wengi wanaozalisha mazao kukosa masoko ya uhakika. "Tutaendelea kuunga mkono jitihada za ...
Vyote hivyo matokeo ya mabadiliko ya tabianchi, vimekuwa na madhara kwenye kilimo cha mpunga. Kama hiyo haitoshi hata kile walichokuwa wanavuna walikuwa hawana uhakika wa soko. Lakini nuru ikaanza ...
vikundi vya uzalishaji na taasisi zinazojihusisha na kilimo kwa kuziwezesha kuwekeza katika kilimo cha kisasa, kupata pembejeo bora na teknolojia ya juu ya kilimo," alisema Dk. Mwigulu. Alisema msaada ...
Ili kupata mwani bora, wakulima Zanzibar wamepewa mashine za ... Ofisa Mkuu wa Uvuvi Zanzibar akiwakabidhi wakulima wa mwani zana za kilimo hicho ili walime kwa tija katika mradi wa bahari maisha ...
Licha ya kiwango bora cha kipa, Fernandes alihakikisha kwamba Garnacho anastahili sifa zake. Baada ya pasi ya Garnacho, Fernandes alipotumbukiza mpira kwenye nyavu alichokifanya kwenye kushangilia ni ...
KINDA wa Yanga, Shaibu Mtita anayekipiga Wakiso Giants ya Uganda ameingia kwenye kikosi bora cha raundi ya 15 baada ya kufanya vizuri kwenye nusu ya msimu wa ligi ya nchi hiyo. Mtita pamoja na Isaack ...
Sui (SUI) iko kati ya watekelezaji bora katika tasnia ya krypto kwani ilirekodi ongezeko la zaidi ya 813% mwaka ... hatua hii ingeboresha upatikanaji wa likiditi na kusimplisha matumizi ya sarafu ...