Mtafiti wa bayoteknolojia ya kilimo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Dk. Aneth David anasema ... na teknolojia hii ina sifa nzuri kwenye mimea mfano migomba na mahindi inachochea kuongeza ...
“Mazao manne yaliyopewa kipaumbele ni mpunga, mahindi, ngano na alizeti yaliyoorodheshwa katika Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano wa Serikali ya Tanzania (FYDP III) na itaimarisha mnyororo wa ...
"Tutaendelea kuunga mkono jitihada za washirika wa maendeleo, mafunzo haya yataimarisha na kuleta tija katika kilimo cha kisasa," amesema. Sihaba amesema mafunzo hayo yatawajengea uwezo katika ...