Amesema mikopo ya muda wa kati na mrefu kwa itatolewa kwa wakulima, vikundi vya uzalishaji na taasisi zinazojihusisha na kilimo kwa kuziwezesha kuwekeza katika kilimo cha kisasa, kupata pembejeo bora ...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka akisikiliza maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Mkurugenzi ... ili waweze kuvuta maji kutoka kwenye vyanzo kupeleka mashambani ili kuzalisha parachichi kwa wingi.