Dar es Salaam. Simba itacheza mechi yake ya Jumapili wiki hii Januari 19, 2025 dhidi ya CS Constantine bila ya mashabiki kufuatia adhabu iliyopewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Adhabu ...
Tukitoka England, kule Saudi Arabia kwenye Dimba la King Abdullah Sport City ... vyetu ambapo wawakilishi wetu, Simba na Yanga watakuwa na karata muhimu katika michuano inayosimamiwa na Shirikisho la ...