KATIKA sehemu ya kwanza ya ripoti hii kulikuwa na ushuhuda wa huduma ya choo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli ... 2004 inayoelekeza "kila mtu anayeishi Tanzania, atakuwa na haki ya kuwa na ...
inayodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa Tanzania wakiwa wamezingirwa na kushambuliwa na waasi karibu na uwanja wa ndege wa Goma.Hawa wanaodaiwa kuwa wanajeshi wa Tanzania ni madereva wa trela.
Nilihitaji changamoto nyingine tofauti kabisa, hivyo nilikataa nafasi ya kurudi Ufaransa na kuamua kuja Tanzania." Nani alikuwa nyuma ya usajili wake, ni mtoto wa nne wa bilionea mzawa Said Salim ...
Kikwete ambaye ni mwasisi wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), alisema hayo mjini Morogoro wakati wa kikao cha kamati ambapo akawaasa viongozi wa dini kusimama imara kuhakikisha Tanzania ...
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo, kutokana na ...
Ndoa ya Aziz Ki na Mobetto imehudhuriwa na mastaa mbalimbali, wakiwepo wachezaji wa Yanga, ambao wamesimama kama ndugu wa bwana harusi kwa Tanzania. Baada ya sherehe ya ndoa leo, inaelezwa kwamba ...
“Mwaka huu ni wa uchaguzi mkuu, vyama vyote vitakuja kuomba kura, lakini nyinyi mnajua kuwa CCM inapeleka wagombea wake katika nafasi za Urais, Ubunge na Udiwani. Kwa nafasi ya Urais, mgombea wetu wa ...