MKOA wa Mbeya umekusanya jumla ya Sh bilioni 2.3 sawa na asilimia 63 ya lengo la mwaka kati ya Julai 2024/ 2025 ikiwa ni makusanyo ya maduhuli ya serikali yanayotokana na mrabaha, tozo na ada ...
TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH), watatoa huduma upimaji bure ...
RUNGWE, Mbeya: WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na kampuni ya Oryx Gas Tanzania, leo Februari 08 inaendelea kusambaza mitungi ya gesi ya kilo sita kwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya, ...
Ofisa Uhusiano Huduma kwa wateja Tanesco Mkoa wa Mbeya, Christian Shoki akitoa taarifa ya wimbi la wizi wa miundombinu ya shirika kwa Baraza la Madiwani Jiji la Mbeya. Picha na Hawa Mathias Mbeya.
Muonekano wa vyoo vipya vya Stendi Kuu ya mabasi Mbeya baada ya kufanyiwa maboresho ikiwa ni miezi sita tangu gazeti la Mwananchi kiripoti uhaba na uchakavu wa miundombinu hiyo. Mbeya. Miezi sita ...