Wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababishwa na pikipiki maarufu bodaboda katika kipindi cha 2022 hadi 2024, Bunge la Tanzania limeelezwa.
NAIBU WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, amewaagiza wadau wa usalama barabarani kudhibiti ajali za barabarani ...
BASI lililobeba wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Dodoma Jiji limepinduka na kutumbukia mtoni katika eneo la Nangurukuru mkoani Lindi likiwa na wachezaji. Ajali hiyo imetokea leo Februari 10, ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
MACHO na masikio ya Watanzania Dodoma. Ndivyo ilivyo kutokana na Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanza leo jijini hapa ambao pamoja na mambo mengine, wajumbe takriban 2,000 ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果