Wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababishwa na pikipiki maarufu bodaboda katika kipindi cha 2022 hadi 2024, Bunge la Tanzania limeelezwa.
NAIBU WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, amewaagiza wadau wa usalama barabarani kudhibiti ajali za barabarani ...
BASI lililobeba wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Dodoma Jiji limepinduka na kutumbukia mtoni katika eneo la Nangurukuru mkoani Lindi likiwa na wachezaji. Ajali hiyo imetokea leo Februari 10, ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
DODOMA Jiji imegoma kumuachia kirahisi mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Paul Peter aliyekuwa akitakiwa na Al Dahra ya Libya na kuwaita mezani Waarabu hao wakiwa na mzigo wa maana kama kweli wanataka ...
MACHO na masikio ya Watanzania Dodoma. Ndivyo ilivyo kutokana na Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanza leo jijini hapa ambao pamoja na mambo mengine, wajumbe takriban 2,000 ...
Alikutana na Muhindo Kibwana muendesha pikipiki akiwa kwenye maegesho yake ya kazi, jina lake limebadilishwa kwa usalama wake. Katika barabara kuu ya Katindo, magharibi mwa Goma, mamia ya wakazi ...
Takwimu zinaashiria bajaji na pikipiki za umeme zimekuwa maarufu tangu mradi huo wa UNEP kuzinduliwa.Kwa muda sasa taswira barabarani imekuwa ya pikipiki na magari yanayotumia nishati ya petroli na ...
Ushuhuda uliopo kwenye majiji na miji kama Dodoma, Mwanza, Mbeya, Moshi, Iringa na Dar es Salaam unaonesha kwamba ... Wanapatikana pia wanaoosha na kupaka kucha rangi na zama hizi wameongezeka zaidi.
*Ni katika urejeshaji wa mikopo Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni ...
Nenda kwenye ukurasa wa kwanza / Afrika DRC: Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti yatangaza nia yao ya kuanzisha mijadala ikijumuisha M23 Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, siku 10 baada ...