BAADA ya Yanga kumalizana na TP Mazembe ya DR Congo katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa nyumbani jana, leo Jumapili ni zamu ya Simba iliyopo ugenini ambayo itavaana na CS Sfaxien ya Tunisia ...
Simba imetazama historia ya mechi zake 10 zilizopita za kimataifa ilizocheza ugenini na kugundua ina kazi kubwa ya kufanya katika mechi ya kesho jijini Tunis, Tunisia itakapocheza na CS Sfaxien ya ...