Zanzibar. Hatimaye pazia la tamasha la muziki Sauti za Busara 2025, limefunguliwa leo Februari 14,2025, Ngome Kongwe, Stone Town kisiwani Unguja na Journey Ramadhan ambaye ni Mtendaji Mkuu wa tamasha ...
Zanzibar. Leo Februari 14,2025, ikiwa ni siku rasmi ya kufunguliwa kwa Tamasha la muzuki la Sauti za Busara 2025, Ngome Kongwe, Stone Town kisiwani Unguja. pilikapilika zimeshamiri kisiwani hapa.