WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema ndani ya miezi miwili, serikali imetoa takribani Sh bilioni 254 kwa ajili ya kulipa ...
NAIBU WAZIRI Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Dk. Festo Dugange ameziagiza ofisi za halmashauri kuhakikisha vifaa vya kujifunguliwa ...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watakapojiridhisha na utoaji huduma, miundombinu na rasilimali watu kwenye ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imebaini ongezeko la gharama ya Sh565 milioni baada ya kusimama kwa ujenzi wa stendi ya kimataifa ya mabasi ya Ngangamfumuni ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi(CCM)wilaya ya Korogwe mjini Thobias Nungu amewahimiza wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi wasisubiri nafasi za kuteuliwa kwani wana uwezo wa kuongoza ...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Shinyanga Mjini, Anord Makombe, amewaonya madereva wa bodaboda kuacha tabia ya kutongoza wake za watu pamoja wanafunzi. Makombe amesema hayo wakati ...
Kongamano la kimataifa kuhusu kuangamiza silaha za nyuklia lilifunguliwa mjini Tokyo jana Jumamosi, likiwashirikisha manusura na wataalam wa bomu la atomiki. Tukio hilo linakuja wakati mwaka huu ...
WACHEZAJI saba kati ya 37 waliopata majeraha katika ajali ya gari la timu ya Dodoma Jiji FC bado wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Kinyonga kutokana na kuumia kwa kukatwa na vioo wakati gari ...
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kwa madai ... hiyo yenye makao yake mjini Arusha Tanzania, Congo inadai ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka serikali kutoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa ya Jiji la Arusha, huku akitaka kujua sababu ...
Kambi za Nzulo 1 na Rusayo 2 hazizidi asilimia 30%. ya watu. Kulingana na mashirika ya kibinadamu, madhara yake ni makubwa. Hali ya vyoo vya wazi inawaweka watu kwenye hatari kubwa za kiafya.
Jumamosi, askari wenye silaha walipora maduka na masoko madogo-madogo pia mjini Bukavu na kufyatua risasi ... Justin Mulindangabo ni msimamizi wa asasi za kiraia wilayani Kabare, anataka askari ...