Ohad Ben Ami, 56, ataunganishwa tena na mkewe, ambaye alikuwa mateka wa zamani ambaye aliachiliwa mnamo mwezi Novemba 2023 wakati wa makubaliano ya kwanza. Mtu mwingine atakayeachikiwa huru ni Or ...
Rais wa Israel Isaac Herzog, kwenye mtandao wa kijamii wa X, amesema hii ni "jinsi uhalifu dhidi ya ubinadamu unavyoonekana." Michal, mama mkwe wa aliyekuwa mateka Ohad Ben Ami, amehuzunika baada ...
Ikiwa na harufu nzuri, bia baridi ni kinywaji kinachogusa hisia zetu zote. Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua.
BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje.
TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ya kuboresha masuala ya kodi nchini. Tume hiyo ikiongozwa na Makamu ...
Miili miwili kati ya mitatu ya wachimbaji wa madini waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika Mgodi wa Nkadi, uliopo Mtaa wa Ilindi-Mwine, Kata ya Zongomela, Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani ...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema maboresho ya mahakama ya kiutendaji na mifumo lazima viende sambamba na upitiaji wa sheria ambazo zimepitwa na wakati na zile ambazo ni kikwazo ...
Dodoma. Bunge la Tanzania limeazimia Serikali ihakikishe mifuko ya hifadhi ya jamii isimamiwe ipasavyo katika kuhakikisha uwekezaji unaofanywa ni wa tija na unaendana na michango. Bunge limeazimia ...
SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) limetangaza mabondia 15 wa timu ya taifa ya ngumi watakaoingia kambini kujiandaa na mashindano ya ubingwa wa dunia kwa wanawake. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu ...
第九届亚洲冬季运动会在哈尔滨隆重开幕 习近平出席开幕式并宣布本届亚冬会开幕 蔡奇 来自亚洲各地的领导人和贵宾等出席 2月7日晚,第九届亚洲冬季运动会在黑龙江省哈尔滨市隆重开幕。习近平等党和国家领导人出席开幕式。新华社记者 王晔 摄 新华社 ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果