Ikiwa na harufu nzuri, bia baridi ni kinywaji kinachogusa hisia zetu zote. Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua.
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) unashiriki Maonesho ya Miaka 20 ya Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kwenye viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma na ...
Maelezo ya picha, Trump akitia saini maagizo ya rais Jumatatu jioni baada ya kuapishwa. 21 Januari 2025 Donald Trump, ambaye alirejea madarakani kutokana na wimbi la kutoridhika na hali kwa wapiga ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
Ohad Ben Ami, 56, ataunganishwa tena na mkewe, ambaye alikuwa mateka wa zamani ambaye aliachiliwa mnamo mwezi Novemba 2023 wakati wa makubaliano ya kwanza. Mtu mwingine atakayeachikiwa huru ni Or ...
Rais wa Israel Isaac Herzog, kwenye mtandao wa kijamii wa X, amesema hii ni "jinsi uhalifu dhidi ya ubinadamu unavyoonekana." Michal, mama mkwe wa aliyekuwa mateka Ohad Ben Ami, amehuzunika baada ...
Zaidi ya wakazi 500,000 wa visiwa vya Ziwa Victoria wamenufaika na huduma za afya zinazotolewa na meli ya matibabu MV Jubilee Hope, inayoendeshwa na Kanisa la Afrika Inland Church Tanzania (AICT) ...
Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo ...
SIMIYU: MFUKO wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) umewataka wataalamu wanaosimamia miradi ya kupunguza umaskini kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini awamu ya tatu (TASAF III) Mkoa wa Simiyu ...
Dar es Salaam. Wataalamu wa Tanzania na wadau wa asasi za kiraia, wametoa mapendekezo ya njia za kudumisha ufadhili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) na Marekani kutangaza kupitia upya misaada yao. Umoja ...
Uingereza. Brian Deacon ni jina la mwigizaji maarufu wa Uingereza aliyecheza kama Yesu Kristo katika filamu ya 'Jesus' (1979), iliyoandaliwa na kampuni ya 'Jesus Film Project'. Filamu hiyo imekuwa ...
SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) limetangaza mabondia 15 wa timu ya taifa ya ngumi watakaoingia kambini kujiandaa na mashindano ya ubingwa wa dunia kwa wanawake. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu ...