Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa salamu za pole kwa familia ya mwana mfalme Aga Khan, Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan na Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, wanatarajiwa kukutana Jumamosi, Februari 8, 2025, jijini Dar es Salaam kujadili ...
Kundi la waasi la M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limesema sio tu kwamba litaendelea kusalia kwenye mji lililouteka wa Goma bali pia linakusudia kusonga mbele hadi mji mkuu, Kinshas ...
Uingereza imeionya Rwanda kwamba kuhusika kwake na machafuko mashariki mwa Kongo kunaweza kuathiri msaada wa dola bilioni moja inaopokea kila mwaka, huku Rais Paul Kagame akiapa kukabiliana na Afrika ...