Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali anazungumza na Cassypool mwanamitandao na muhamishaji kutoka nchini Kenya, ...
Kauli ya Ruto ameitoa wakati wa kikao kinachowaleta pamoja wakuu wa nchi za SADC na wale wa EAC kujadili hali ya mashariki ya ...
Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa salamu za pole kwa familia ya mwana mfalme Aga Khan, ...
MACHIFU watano wametekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera ...
Rais wa DRC , Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo.
Ni kwa sababu kila lawama ya anguko la Chadema, alitupiwa Mbowe. Uchaguzi ulioharibiwa wa serikali za mitaa 2019, Uchaguzi ...
Methane inayotolewa na mifugo huchangia takribani 15% ya uzalishaji wa hewa chafu duniani kila mwaka, makadirio ya Umoja wa ...
Karibu wanawake 200 waliuawa nchini Kenya mwaka jana, katika matukio ya ukatili wa kijinsia. Idadi hii ambayo ni karibu mara ...
RAIS wa Kenya William Ruto ametangaza mkutano wa kilele wa EAC utajadili hatua za namna ya kutafuta utatuzi wa mgogoro unaoendelea Congo .
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa mkutano wa kilele wa jumuiya ya kanda ya Afrika Mashariki utawajumuisha viongozi ...