Taarifa kuwahusu Albino nchini Tanzania mara nyingi zimekuwa za majonzi na kukatisha tamaa, lakini kundi moja la Albino visiwani Ukerewe lipo katika kampeni ya kipekee. Maaalbino watano walijiunga ...
Serengema ndio sehemu iliyoathirika vibaya zaidi. Kuna mashirika kadhaa yasiyo ya kiserikali yanayofanya kazi pamoja na chama cha Tanzania Albino katika kuhamasisha na pia kujenga makaazi.