Hata hivyo, hatua mpya iliyochukuliwa na Kampuni ya Bima ya Taifa (NIC) na Equity Bank inatoa mwanga mpya kwa kundi hilo muhimu katika uchumi wa taifa. Hatua hiyo ni Shirika la Bima la Taifa (NIC) ...