Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani, Ramadhani Mlao, amesema chama hicho kwa mkoa huo, kinaungana na maazimio ya Mkutano Mkuu, kwa wagombea wakliopitishwa kugombea nafasi hizo.Mbunge wa Jimbo la Kibaha ...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman. Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa ...
GEITA; JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Mkoa wa Iringa imefanya ziara ya mafunzo wilayani Geita kwa ajili ya kupata uelewa wa mifumo sahihi ya kuongeza mapato katika halmashauri kupitia ...
Leo ni siku ya tatu tangu kutolewa tangazo la muafaka wa usitishaji uhasama Ukanda wa Gaza baina ya Israel na kundi la Palestina la Hama utakaoanza kutekelezwa mwishoni mwa wiki. Raia wa Gaza ...
Pepo hizi zinapokaribia, wazima moto katika Jiji la Los Angeles na wale katika kaunti, nchi na hata nje ya nchi wako katika nafasi ya dhati na ya kimkakati ya kuokoa maisha. Ukizingirwa na miali ...
Mbeya. Halmashauri ya Jiji la Mbeya limeanza kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikijumuisha ujenzi wa soko la kisasa la Matola, kituo kipya cha mabasi ya mikoani na eneo la uwanja wa ndege wa ...
WATU 10 wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa baada ya breki la lori lililokuwa limebeba saruji kushindwa kufanya kazi na kugonga watu waliokuwa wakiangalia ajali ya gari dogo aina ya Tata katika ...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Paul Makonda akizungumza leo Alhamisi Januari 9, 2025 wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa jengo la ofisi na Makao Makuu ya Halmashauri ya Jiji la Arusha, unaoendelea. Arusha. Mkuu wa ...
Jiji hilo la pili kwa ukubwa nchini Sweden limeshika nafasi ya kwanza katika fahirisi hiyo ya kila mwaka kuanzia 2016-2021. Lilitajwa na Lonely Planet kama jiji bora zaidi ulimwenguni 2021 ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果