LEO mchana, Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) limethibitisha kupokea na kuwasindikiza wapiganaji mamluki zaidi 280 wa Romania waliokuwa wakipigana pamoja na Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase akiwa eneo la tukio walipo vijana hao. Picha na Sanjito Msafiri Kibaha. Zaidi ya Vijanana na kuhojiwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa ...
Kwa mujibu wa Obad, watu hao walimkamata Manengelo kwa lengo la kuweka mtego wa kumkamata rafiki yake (jina linahifadhiwa) kwa madai kuwa maofisa hao walimtumia fedha Sh5 milioni kimakosa, hata ...
Nchini Mali, takriban watu kumi na watano wameuawa kikatili na jeshi la Mali na wasaidizi wake wa kundi la Wagner kutoka Urusi. Ukatili dhidi ya wanawake pia unaripotiwa.
na wachambuzi wa masuala ya kiusalama katika idhaa mbalimbali za Misri wameeleza kuwa jeshi la nchi hiyo "limeanza kuimarisha vikosi vyake" huko Sinai. Siku ya Jumanne, Waziri wa Ulinzi wa Misri ...
Mpango huo unatoa nafasi kwa wapiganaji kutoka makundi yenye silaha, hasa kutoka kaskazini mwa Mali, lakini pia kutoka katikati kuingizwa katika katika jeshi la nchi. Mchakato huu wa DDR ambao ...
Polisi wazuia mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari. JESHI la polisi limezuia kufanyika kwa mkutano kati ya waandishi wa habari na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John ...
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo, kutokana na ...
Katika Ikulu ya White House, Trump alionekana kupendekeza kwamba idadi kubwa ya waliokufa na kujeruhiwa katika jeshi la Urusi ilitoa aina fulani ya uhalali kwa madai ya Putin ya kuendelea ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果