Rais wa DRC , Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo.
LICHA ya yote yaliyotokea, Hamisa Mobetto amefichua alikuwa tayari kuwa mke wa pili kwa Diamond Platnumz kama angemuoa Zari The Bosslady na walishakaa na kujadili hilo na mwimbaji huyo ...