JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imesema itailipa fidia Kenya kutokana na uharibifu uliofanywa katika ubalozi wake, ...
UBALOZI wa Kenya uliopo Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umeshambuliwa na waandamanaji wenye hasira ...