Ofisa Kilimo wa Kisuke, Soud Njalamoto, alisema kuwa kuna zaidi ya wakulima 208 wanaojishughulisha na kilimo cha pamba katika eneo hilo. Alisisitiza kuwa wamepatiwa elimu juu ya mbinu bora za kilimo, ...
Alisisitiza kuwa taarifa hizo zinapaswa kuandaliwa kwa kushirikiana na afisa kilimo wa kata na kuziwasilisha kwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhitaji, badala ya kutumia kigezo cha kushuka kwa ...