Mtafiti wa bayoteknolojia ya kilimo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Dk. Aneth David anasema ... na teknolojia hii ina sifa nzuri kwenye mimea mfano migomba na mahindi inachochea kuongeza ...
Madiwani na wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wakiwa katika kikao cha rasimu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 Mbeya. Wakati Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ikipitisha rasimu ya bajeti ya ...
Alisisitiza kuwa taarifa hizo zinapaswa kuandaliwa kwa kushirikiana na afisa kilimo wa kata na kuziwasilisha kwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhitaji, badala ya kutumia kigezo cha kushuka kwa ...
Diwani wa Itulahumba, Thobias Nkane amesema ushuru wa mazao ya mahindi kwa gunia la kilo 100 ni Sh1,500 ... Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Onesmo Lyandala amesema katika ...