"Hii itafikiwa kwa kutoa mikopo ya muda wa kati na mrefu kwa wakulima, vikundi vya uzalishaji na taasisi zinazojihusisha na kilimo kwa kuziwezesha kuwekeza katika kilimo cha kisasa, kupata pembejeo ...
Giseboye, alisema wakulima wanahitaji kuwezeshwa katika sekta mbalimbali na kuelimishwa ili kuleta mabadiliko kwa kuendesha kilimo cha kibiashara na kukuza uchumi. Aliupongeza uongozi wa chuo hicho ...
Wahenga waliposema ‘Mchuma janga hula na wakwao’ haukuwa msemo ombwe, hii inajidhihirisha kutokana na zaidi ya watu milioni 1.34 wanaotegemea mtu huo wako hatarini kuathirika na ukame kutokana ...
Baadhi ya wakulima wa kijiji cha Buyubi wilaya ya Maswa wakiwa wamebeba mbegu zilizoongezewa virutubisho za mahindi lishe na maharage lishe wazizogawiwa na Mradi ... viazi lishe na maharagwe lishe kwa ...