Kenya na Rwanda ni mataifa ambayo hivi karibuni yamevamiwa na viwavi ambao tayari vimeharibu mimea ya mahindi Kusini na Mashariki mwa Afrika. Viwavi hao wametatiza wakulima sana kwa sababu ...
Uhaba wa mahindi nchini Kenya ulisababisha ongezeko ... je wakulima waliopokea mbolea hiyo wanategemea mvua au kilimo cha unyunyizaji maji. Kutokana na uhaba wa mvua ambao umekuwa ukikumba maeneo ...
Zaidi ya watu 10 wenye ukoma katika Kitongoji cha Kanoge, Kata ya Misheni, Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora wamepatiwa msaada wa mbolea kutoka kwa waimbaji wa Kwaya ya Skonge Moravian Gospel. Lengo la ...