MBUNGE wa Viti Maalum, Sofia Mwakagenda, ameitaka serikali kuweka mikakati kuhakikisha mazao yanayoharibika haraka kama vile ...
Wananchi hao wanaojishughulisha na kilimo cha ndizi, viazi pamoja na matunda kama pasheni, parachichi na maembe wameiomba Serikali kutekeleza ahadi yake ya ujenzi wa barabara hiyo na kuiwezesha ...
DAR ES SALAAM : SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) na Benki ya Equity wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati kwa suluhisho la bima za kilimo na mikopo ya kidigitali. Ushirikiano huo wamesaini ...
Amesema mikopo ya muda wa kati na mrefu kwa itatolewa kwa wakulima, vikundi vya uzalishaji na taasisi zinazojihusisha na kilimo kwa kuziwezesha kuwekeza katika kilimo cha kisasa, kupata pembejeo bora ...