Dodoma. Wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababishwa na pikipiki maarufu bodaboda katika kipindi cha 2022 hadi 2024, Bunge la Tanzania limeelezwa. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema serikali imejizatiti kuboresha na kuimarisha sekta ya kilimo ...
BASI lililobeba wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Dodoma Jiji limepinduka na kutumbukia mtoni katika eneo la Nangurukuru mkoani Lindi likiwa na wachezaji. Ajali hiyo imetokea leo Februari 10, ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Serikali ya Tanzania imejizatiti kuboresha na kuimarisha sekta ...
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo, kutokana na ...
Dar es Salaam. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ametuma salamu za pole kwa klabu ya Dodoma Jiji kufuatia ajali iliyotokea eneo la Nangurukuru mkoani Lindi. Hayo ...