MACHO na masikio ya Watanzania Dodoma. Ndivyo ilivyo kutokana na Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanza leo jijini hapa ambao pamoja na mambo mengine, wajumbe takriban 2,000 ...
NAIBU WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, amewaagiza wadau wa usalama barabarani kudhibiti ajali za barabarani ...
Wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababishwa na pikipiki maarufu bodaboda katika kipindi cha 2022 hadi 2024, Bunge la Tanzania limeelezwa.
Serikali ya Tanzania imesema barabara zote mpya zinazojengwa kwa kiwango cha lami zinahusisha ujenzi wa njia za waenda kwa ...
*Ni katika urejeshaji wa mikopo Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni ...
TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao imetoa zaidi ya baiskeli za viti mwendo 50, pikipiki mbili, zawadi na vyakula kwa watu wenye ...
Takwimu zinaashiria bajaji na pikipiki za umeme zimekuwa maarufu tangu mradi huo wa UNEP kuzinduliwa.Kwa muda sasa taswira barabarani imekuwa ya pikipiki na magari yanayotumia nishati ya petroli na ...
DODOMA Jiji imegoma kumuachia kirahisi mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Paul Peter aliyekuwa akitakiwa na Al Dahra ya Libya na kuwaita mezani Waarabu hao wakiwa na mzigo wa maana kama kweli wanataka ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果