WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema ndani ya miezi miwili, serikali imetoa takribani Sh bilioni 254 kwa ajili ya kulipa ...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ametuma salamu za pole kwa klabu ya Dodoma Jiji kufuatia ajali iliyotokea eneo la Nangurukuru ... Hii ni mara ya kwanza kwa Lissu ...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watakapojiridhisha na utoaji huduma, miundombinu na rasilimali watu kwenye ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi(CCM)wilaya ya Korogwe mjini Thobias Nungu amewahimiza wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi wasisubiri nafasi za kuteuliwa kwani wana uwezo wa kuongoza ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Songea Mjini na Vijijini mkoani Ruvuma, kinatarajia kufanya maandamano yakifuatiwa na mkutano, lengo likiwa ni kuunga mkono maazimio ya Mkutano Mkuu CCM, ...
Kongamano la kimataifa kuhusu kuangamiza silaha za nyuklia lilifunguliwa mjini Tokyo jana Jumamosi, likiwashirikisha manusura na wataalam wa bomu la atomiki. Tukio hilo linakuja wakati mwaka huu ...
WACHEZAJI saba kati ya 37 waliopata majeraha katika ajali ya gari la timu ya Dodoma Jiji FC bado wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Kinyonga kutokana na kuumia kwa kukatwa na vioo wakati gari ...
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kwa madai ... hiyo yenye makao yake mjini Arusha Tanzania, Congo inadai ...
Ameongeza kuwa mwishoni mwa Februari mwaka huu, serikali inatarajia kutoa fedha nyingine za kutekeleza miradi ya miundombinu katika sekta ya ujenzi, huku akiiagiza Waka wa Barabara Tanzania (TANROADs) ...
Msemaji wa jeshila FARDC Jenerali Sylvin Ekenge amekataa kuthibitisha au kukanusha taarifa hiyo lakini duru za kiusalama mjini Lubumbashi zimethibitisha kutumwa kwa wanajeshi 400, ambapo kabla ya ...
Kambi za Nzulo 1 na Rusayo 2 hazizidi asilimia 30%. ya watu. Kulingana na mashirika ya kibinadamu, madhara yake ni makubwa. Hali ya vyoo vya wazi inawaweka watu kwenye hatari kubwa za kiafya.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果