William Ruto ameapishwa rasmi kuwa rais wa tano wa Kenya . Miongoni mwa maelfu ya watu waliopanga foleni usiku kucha ili kuona jeneza la Malkia katika jiji la Edinburgh nchini Scotland ni familia ...
Rais mpya wa Kenya William Ruto aliapishwa jana kuanza hatamu kama rais wa tano wa nchi hiyo . kipindi chake uongozini kimeanza wakati mgumu kwa raia wa taifa hilo kama ilivyo kote duniani ambapo ...
Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa salamu za pole kwa familia ya mwana mfalme Aga Khan, Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan na Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia.