Kauli ya Ruto ameitoa wakati wa kikao kinachowaleta pamoja wakuu wa nchi za SADC na wale wa EAC kujadili hali ya mashariki ya ...
Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali anazungumza na Cassypool mwanamitandao na muhamishaji kutoka nchini Kenya, ...
Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa salamu za pole kwa familia ya mwana mfalme Aga Khan, ...
SADC na EAC wameonesha nia thabiti ya kutaka kujenga heshima ya ukanda kwa kujitoa kuhakikisha amani inapatikana DRC.
Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamezitaka pande zote ...
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeitaka M23 na makundi mengine yasiyo ya ...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma...
VIONGOZI wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamesema njia sahihi ya ...
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema takribani watu 900 wameuawa na wengine 2,900 kujeruhiwa kutokana na mapigano yaliyodumu kwa siku saba katika mji wa Goma kati ya waasi wa M23 na Jeshi la Jamhuri ...